Methali 12:23-24
Methali 12:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye busara huficha maarifa yake, lakini wapumbavu hutangaza upumbavu wao. Kuwa na bidii kutampa mtu cheo, lakini uvivu utamfanya mtumwa.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu mwenye busara husitiri maarifa; Bali moyo wa wapumbavu hutangaza upumbavu. Mkono wa mwenye bidii utatawala; Bali mvivu atalipishwa kodi.
Shirikisha
Soma Methali 12