Wafilipi 4:7
Wafilipi 4:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nayo amani ya Mungu ipitayo akili zote za watu italinda salama mioyo na akili zenu katika kuungana na Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4