Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:4-5 - Compare All Versions

Wafilipi 4:4-5 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini! Upole wenu ujulikane kwa watu wote. Bwana yu karibu.

Shirikisha
Wafilipi 4 BHN

Wafilipi 4:4-5 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu.

Shirikisha
Wafilipi 4 SRUV

Wafilipi 4:4-5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

Shirikisha
Wafilipi 4 SUV

Wafilipi 4:4-5 NEN (Neno)

Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.

Shirikisha
Wafilipi 4 NEN