Wafilipi 4:21-23
Wafilipi 4:21-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawasalimu watu wote wa Mungu walio wake Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami hapa wanawasalimuni. Watu wote wa Mungu hapa, na hasa wale walio katika ikulu ya mfalme, wanawasalimuni. Nawatakieni nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:21-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mnisalimie kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu. Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari. Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4