Wafilipi 4:18
Wafilipi 4:18 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nimelipwa kikamilifu hata na zaidi; nimetoshelezwa kabisa sasa, kwa kuwa nimepokea kutoka kwa Epafrodito vile vitu mlivyonitumia, sadaka yenye harufu nzuri, dhabihu inayokubalika na ya kumpendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nimekwisha pokea vitu vyote mlivyonipa, tena ni zaidi kuliko nilivyohitaji. Nina kila kitu kwa vile sasa Epafrodito amekwisha niletea zawadi zenu. Zawadi hizi ni kama tambiko yenye harufu nzuri, sadaka inayokubaliwa na kumpendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; nimepokea kwa mkono wa Epafrodito vitu vile vilivyotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impendezayo Mungu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4