Wafilipi 4:14
Wafilipi 4:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, nyinyi mlifanya vema kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4