Wafilipi 4:11
Wafilipi 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisemi hivyo sasa kwa sababu nahitaji kitu; maana nimejifunza kuridhika na vitu nilivyo navyo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Si kwamba nasema haya kwa kuwa nina mahitaji; maana nimejifunza kuwa radhi na hali yo yote niliyo nayo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:11 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Sisemi hivyo kwa vile nina mahitaji, la! Kwa maana nimejifunza kuridhika katika hali yoyote.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisemi hivyo sasa kwa sababu nahitaji kitu; maana nimejifunza kuridhika na vitu nilivyo navyo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Si kwamba nasema haya kwa kuwa nina mahitaji; maana nimejifunza kuwa radhi na hali yoyote niliyo nayo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4