Wafilipi 4:10
Wafilipi 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kuungana na Bwana nimepata furaha kubwa kwamba mwishoni mlipata tena fursa ya kuonesha kwamba mnanikumbuka. Kusema kweli mmekuwa mkinikumbuka daima ila tu hamkupata nafasi ya kuonesha jambo hilo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilifurahi sana katika Bwana, kwa kuwa sasa mwisho mmehuisha tena fikira zenu kwa ajili yangu, kama vile mlivyokuwa mkinifikiri hali yangu lakini hamkupata nafasi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4