Wafilipi 2:9
Wafilipi 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina
Shirikisha
Soma Wafilipi 2