Wafilipi 2:7
Wafilipi 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu
Shirikisha
Soma Wafilipi 2