Wafilipi 2:25
Wafilipi 2:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeona sina budi kumtuma kwenu ndugu yetu Epafrodito, ambaye ni mwenzangu kazini na vitani na ambaye ni mjumbe wenu aliyenisaidia katika mahitaji yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini niliona imenilazimu kumtuma kwenu Epafrodito, ndugu yangu, mfanyakazi pamoja nami, askari pamoja nami; tena ni mtume wenu na mhudumu wa mahitaji yangu.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2