Wafilipi 2:22
Wafilipi 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi wenyewe mwafahamu jinsi Timotheo alivyo thabiti; yeye na mimi, kama vile mtoto na baba yake, tumefanya kazi pamoja kwa ajili ya Injili.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ila mwajua sifa yake, ya kuwa ametumika pamoja nami kwa ajili ya Injili, kama mwana na baba yake.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2