Wafilipi 2:16
Wafilipi 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)
mkishika imara ujumbe wa uhai. Na hapo ndipo nami nitakapokuwa na sababu ya kujivunia katika siku ile ya Kristo, kwani itaonekana dhahiri kwamba bidii yangu na kazi yangu havikupotea bure.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkishika neno la uzima; nipate sababu ya kuona fahari katika siku ya Kristo, ya kuwa sikupiga mbio bure wala sikujitaabisha bure.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2