Wafilipi 2:15
Wafilipi 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
ili mpate kuwa watu safi, wasio na lawama, kama watoto wanyofu wa Mungu wanaoishi katika ulimwengu mbaya na uliopotoka. Mtangara kati yao kama nyota zinavyoliangaza anga
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu
Shirikisha
Soma Wafilipi 2