Hesabu 22:36
Hesabu 22:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Balaki alipopata habari kwamba Balaamu anakuja, alitoka kwenda kumlaki mjini Ari, mji uliokuwa ukingoni mwa mto Arnoni kwenye mpaka wa Moabu.
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Balaki aliposikia ya kuwa Balaamu amefika, akatoka kwenda kumlaki, mpaka Mji wa Moabu, ulioko katika mpaka wa Arnoni, ulioko katika upande wa mwisho wa mpaka huo.
Shirikisha
Soma Hesabu 22