Hesabu 22:12
Hesabu 22:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamwambia Balaamu, “Usiende pamoja na watu hawa, wala usiwalaani watu hao maana wamebarikiwa.”
Shirikisha
Soma Hesabu 22Hesabu 22:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia Balaamu, Usiende pamoja nao; wala usiwalaani watu hawa, maana wamebarikiwa.
Shirikisha
Soma Hesabu 22