Mathayo 6:16
Mathayo 6:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mnapofunga, msiwe na huzuni kama wanafiki. Wao hukunja nyuso zao wapate kuonekana na watu kuwa wanafunga. Nawaambieni kweli, hao wamekwisha pata tuzo lao.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 6