Mathayo 5:8-9
Mathayo 5:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu. Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu. Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu. Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5