Mathayo 5:7-8
Mathayo 5:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri walio na huruma, maana watahurumiwa. Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5