Mathayo 5:6-8
Mathayo 5:6-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa. Heri walio na huruma, maana watahurumiwa. Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:6-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:6-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema. Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5