Mathayo 5:6-7
Mathayo 5:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa. Heri walio na huruma, maana watahurumiwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.
Shirikisha
Soma Mathayo 5