Mathayo 5:47
Mathayo 5:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mkiwasalimu ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata watu wasiomjua Mungu nao hufanya vivyo hivyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
Shirikisha
Soma Mathayo 5