Mathayo 5:45
Mathayo 5:45 Biblia Habari Njema (BHN)
ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Shirikisha
Soma Mathayo 5