Mathayo 5:4-5
Mathayo 5:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa. Heri walio wapole, maana watairithi nchi.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Shirikisha
Soma Mathayo 5