Mathayo 5:35
Mathayo 5:35 Biblia Habari Njema (BHN)
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala kwa nchi, kwa maana ndipo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5