Mathayo 5:30
Mathayo 5:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kama mkono wako wa kulia unakukosesha, ukate ukautupe mbali. Afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote uende katika moto wa Jehanamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mkono wako wa kulia ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako wote kutupwa katika Jehanamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5