Mathayo 5:28
Mathayo 5:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Mathayo 5