Mathayo 5:25 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 5:25 BHN (Biblia Habari Njema)
“Patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani kwenda mahakamani. La sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani.
Shirikisha
Mathayo 5 BHNMathayo 5:25 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Shirikisha
Mathayo 5 SUVMathayo 5:25 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa hakimu, na hakimu akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.
Shirikisha
Mathayo 5 SRUVMathayo 5:25 NEN (Neno)
“Patana na mshtaki wako upesi wakati mpo njiani kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani.
Shirikisha
Mathayo 5 NEN