Mathayo 5:20
Mathayo 5:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa waalimu wa sheria na wa Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya Waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 5