Mathayo 5:18
Mathayo 5:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, mpaka hapo mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.
Shirikisha
Soma Mathayo 5