Mathayo 5:16
Mathayo 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 5