Mathayo 5:15
Mathayo 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:15 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa bakuli. Badala yake, huiweka kwenye kinara chake, nayo hutoa mwanga kwa kila mtu aliye ndani ya ile nyumba.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.
Shirikisha
Soma Mathayo 5