Mathayo 5:11
Mathayo 5:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5