Mathayo 5:10-11
Mathayo 5:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao. “Heri yenu nyinyi watu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 5