Mathayo 3:9
Mathayo 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Msifikiri na kujisemea, ‘Baba yetu ni Abrahamu!’ Nawaambieni hakika, Mungu anaweza kuyafanya mawe haya yawe watoto wa Abrahamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala msiwaze mioyoni mwenu kwamba, Tunaye baba, ndiye Abrahamu; kwa maana nawaambia ya kwamba Mungu aweza katika mawe haya kumwinulia Abrahamu watoto.
Shirikisha
Soma Mathayo 3