Mathayo 3:4
Mathayo 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yohane alivaa vazi lililoshonwa kwa manyoya ya ngamia, na ukanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yohana mwenyewe alikuwa na vazi lake la singa za ngamia, na mshipi wa ngozi kiunoni mwake; na chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.
Shirikisha
Soma Mathayo 3