Mathayo 3:15
Mathayo 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yesu akamjibu, “Acha tu iwe hivyo kwa sasa, maana ndivyo inavyofaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka.” Hapo Yohane akakubali.
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Ndipo akakubali.
Shirikisha
Soma Mathayo 3