Mathayo 3:12
Mathayo 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye anashika mkononi chombo cha kupuria nafaka, ili aipure nafaka yake; akusanye ngano yake ghalani, na makapi ayachome kwa moto usiozimika.”
Shirikisha
Soma Mathayo 3Mathayo 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ambaye pepeto lake li mkononi mwake, naye atausafisha sana uwanda wake; na kuikusanya ngano yake ghalani, bali makapi atayateketeza kwa moto usiozimika.
Shirikisha
Soma Mathayo 3