Mathayo 27:19
Mathayo 27:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Pilato alipokuwa amekaa katika kiti cha hukumu, mke wake akampelekea ujumbe: “Usijitie katika shauri la mtu huyu mwema, maana leo nimeteseka sana katika ndoto kwa sababu yake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki; kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 27