Mathayo 26:63 - Compare All Versions
Mathayo 26:63 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini Yesu akakaa kimya. Kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, tuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu!”
Shirikisha
Mathayo 26 BHNMathayo 26:63 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.
Shirikisha
Mathayo 26 SRUVMathayo 26:63 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.
Shirikisha
Mathayo 26 SUVMathayo 26:63 NEN (Neno)
Lakini Yesu akakaa kimya. Ndipo kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha mbele za Mungu aliye hai. Tuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.”
Shirikisha
Mathayo 26 NEN