Mathayo 24:9
Mathayo 24:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kisha watawatoeni ili mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa sababu ya jina langu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24