Mathayo 24:7-8
Mathayo 24:7-8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Taifa litainuka dhidi ya taifa, na ufalme dhidi ya ufalme. Kutakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali. Haya yote yatakuwa ndio mwanzo wa uchungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi. Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na mitetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali. Hayo yote ndiyo mwanzo wa uchungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24