Mathayo 24:7
Mathayo 24:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na mitetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali.
Shirikisha
Soma Mathayo 24