Mathayo 24:37
Mathayo 24:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana kama ilivyokuwa nyakati za Noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24