Mathayo 24:30
Mathayo 24:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, ishara ya Mwana wa Mtu itaonekana angani, na hapo makabila yote duniani yatalalamika; watamwona Mwana wa Mtu akija juu ya mawingu ya angani mwenye nguvu na utukufu mwingi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.
Shirikisha
Soma Mathayo 24