Mathayo 24:3
Mathayo 24:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, “Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?”
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?
Shirikisha
Soma Mathayo 24