Mathayo 24:29
Mathayo 24:29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautaangaza, nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za mbingu zitatikiswa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mara tu, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka kutoka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika
Shirikisha
Soma Mathayo 24