Mathayo 24:27
Mathayo 24:27 Biblia Habari Njema (BHN)
maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki hadi magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24