Mathayo 24:22
Mathayo 24:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama siku hizo hazingalipunguzwa, hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo zitapunguzwa kwa ajili ya wale walioteuliwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kama siku hizo zisingalifupishwa, asingeokoka mtu yeyote; lakini kwa ajili ya wateule siku hizo zitafupishwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 24