Mathayo 24:21
Mathayo 24:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa ulimwengu mpaka leo, wala haitapata kutokea tena.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
Shirikisha
Soma Mathayo 24